Tuimbe kuhusu herufi A! Namwona A! Anashangaa ah! Na mkia wake! Anatingisha! Aaaa! Aaaa! Aaaa! Aaaa! -- Karibuni Lala Land, ulimwengu wa maajabu, ambapo utajifunza na kucheza na Akili! Imba namba! Cheza herufi! Cheka, chora, na jifunze Kiingereza na Akili. Angalia “Akili and Me“ TBC1 saa 3 asubuhi j1 & j2 pamoja na Ubongo Kids. Ride the rainbow to Lala Land, and join Akili and her friends on a magical learning adventure. Sing with numbers, dance with letters, draw, play and learn English with Akili!
Hide player controls
Hide resume playing