Lala mpendwa, wimbo wa kumbembeleza mtoto hadi alale, lugha inayotumika ni kiswahili, Tanzania kwa watoto wote wanaopenda kiswahili. Lala kitoto lala x2 Sinzia sinzia lala kitoto lala. Lala mpendwa lala x2 Sinzia sinzia lala mpendwa lala. Lala mpendwa jua limeshazama x2 Lala kitoto lala x2 Sinzia sinzia lala kitoto lala. Lala mpendwa lala x2 Sinzia sinzia lala mpendwa lala. Lala kitoto ndege wameshalala x2 Lala kitoto lala x2 Sinzia sinzia lala kitoto lala. Lala mpendwa lala x2 Sinzia sinzia lala mp
Hide player controls
Hide resume playing