Mimi ni Mkatoliki na ninaishi Marekani. Nina swali kuhusu nafsi za waliokufa, sisi Wakatoliki daima husema Novena kwa siku 9. Je, hiyo ni kitu ambayo kwa kweli husaidia nafsi kwenda kwa ufalme wa Mungu au ni kweli kuna kitu kama Jehanamu, au purgatory? Na swali langu lingine kama ulivyosema hapo awali, ni juu ya kutoa damu. Ulisema kitu hapo awali lakini katika Marekani sisi hutoa msaada wa viungo vyetu vya mwili, je hiyo inakubalika katika Kanisa la Mungu? Na swali langu la tatu ni; ni kweli kuna Krismasi
Hide player controls
Hide resume playing