Myvideo

Guest

Login

The Saints Ministers ||Tutatembea Official Video 4K

Uploaded By: Myvideo
1 view
0
0 votes
0

LYRICS Chorus Tutatembea, tembea kwa furaha,furaha tukiwa na Mwokozi, Kwenye Milango milango ya dhahabu dhahabu tukiwa na furaha. 1. Hakutakuwepo na mambo yote maovu kwenye makaoni juu, Shida taabu na dhiki zinazotusumbua hazitakuwepo juu. 2. Wale ambao watakuwa naye mwokozi watakuwa washindi, Walioshinda dhambi zinazotukabidhi tukiwa duniani. 3. Wakati huu wa hofu ambapo kuna mambo mabaya ya kutisha, Ndio wakati ambapo sote twatakiwa tukeshe kwa Maombi.

Share with your friends

Link:

Embed:

Video Size:

Custom size:

x

Add to Playlist:

Favorites
My Playlist
Watch Later