Mwanga, mwanga, mwanga! Macho yetu yameona! Imba kuhusu MWANGA na Kiduchu, Kibena, Koba, Baraka na Mama Ndege! Angalia Ubongo Kids kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1. http://t
Hide player controls
Hide resume playing