Myvideo

Guest

Login

Phina - Upo Nyonyo (Official Music Video)

Uploaded By: Myvideo
1 view
0
0 votes
0

NIPO NYONYO Shamba la babu , nalima Nivune muhogo na shina ni weh Tambarale mwa milima Kufika kilele lazima Bridge: Nilishathubutu kupenda nisipopendwa Lakini siachi, ooh siachi Msumali wenye kutu nilichomwa nkapata donda Lakini siachi, ooh siachi Nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah Mambo mwanana, nimesitirika hewalah Nimelipata bwana Lakunidekeza nalala Tumeridhiana sina Muda wa kum chiti wala Eeh Chorus: Nipo nyonyo Nipo titi (Aah nimejaaa tele) Nalishwa vinono nipo fiti (Aah, nimejaa tele) Aaah Nipo nyonyo , nipo titi (Aah nimejaa tele) Nalishwa vinono Nipo fiti (Aah nimejaa tele) VERSE 2 Sitaki chupa ya soda baby niletee energy Wajue upo na mimi watumie meseji ah Mi hoi lege lege Nitupie kwa bedi Kabisa n’garagaze, Mpaka ni dead Bridge: Nilishathubutu kupenda nisipopendwa Lakini siachi, ooh siachi Msumali wenye kutu nilichomwa nkapata donda Lakini siachi, ooh siachi Nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah Mambo mwanana, nimesitirika hewalah Nimelipata bwana Lakunidekeza nalala Tumeridhiana sina Muda wa kum chiti wala Eeh Chorus: Nipo nyonyo Nipo titi (Aah nimejaaa tele) Nalishwa vinono nipo fiti (Aah, nimejaa tele) Aaah Nipo nyonyo , nipo titi (Aah nimejaa tele) Nalishwa vinono Nipo fiti (Aah nimejaa tele) Boomplay: Audiomack: Catch Up With Phina On: Instagram: Facebook: Twitter: #Uponyonyo #phina #Upotiti

Share with your friends

Link:

Embed:

Video Size:

Custom size:

x

Add to Playlist:

Favorites
My Playlist
Watch Later