Tunakupenda, tunakulinda, tunakujenga. Je, unajua kwamba wewe unaweza kuwa mwalimu kwa mtoto wako, hata kabla hajaanza shule? Angalia video zetu kupata namna nyingine ya kuwafundisha watoto wako! Angalia Akili and Me pamoja na mtoto wako, kupitia TBC1 Tanzania na hapa hapa YouTube! Atajifunza herufi, namba, kuchora, kusoma na maneno mengi ya Kiingereza! Karibuni Lala Land, ulimwengu wa maajabu, ambapo utajifunza na kucheza na Akili! Imba namba! Cheza herufi! Cheka, chora, na jifunze Kiingereza na Akili.
Hide player controls
Hide resume playing