Ligi ikirudi ni kama inaanza upya…” – Alichokisema Nahodha wa #TaifaStars na mshambuliaji wa Aston Villa, Mbwana Samatta kuhusu kusimama kwa ligi kuu nchini Uingereza na ligi mbalimbali duniani huku akiongeza zaidi juu ya suala la klabu za Tanzania kutofanya vizuri kimataifa ambapo pia ametaja ushindani wa ligi kuu nchini kutokidhi viwango vya kuzifanya klabu zetu kushindana kimataifa.
Hide player controls
Hide resume playing