Myvideo

Guest

Login

Rayvanny - Naogopa (Radio Edit)

Uploaded By: Myvideo
7 views
0
0 votes
0

Lyrics: Mapenzi chenga Yakikupiga unasurrender Na wengi wakipendwa Wanasahau kuna kutendwa Mapenzi chenga Yakikupiga unasurrender Na wengi wakipendwa Wanasahau kuna kutendwa Wapi mkandarasi wa moyo Wa ukuta wa mapenzi unadondoka Kinacho ponza wengi ni moyo Wakikalia kuti kavu wanadondoka Wapi mkandarasi wa moyo Wa ukuta wa mapenzi unadondoka Kinacho ponza wengi ni moyo Wakikalia kuti kavu wanadondoka Unajisifu umempata Kumbe alo mwacha anamfata Anachotaka anakipata Wanasema hawara hana talaka Unajisifu umempata Kumbe alo mwacha anamfata Anachotaka anakipata Wanasema hawara hana talaka Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Tena tochi ya mapenzi isinimulike Nimeyaona bayana Ndo maana sitaki kukumbuka ya jana Alivyonidanganya Moyo wangu ukapiga danadana Nimeyaona bayana Ndo maana sitaki kukumbuka y

Share with your friends

Link:

Embed:

Video Size:

Custom size:

x

Add to Playlist:

Favorites
My Playlist
Watch Later